Meneja wa usalama na operesheni wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu,
Kamishna Msaidizi wa Polisi (mstaafu), Abdallah Mssika, (katikati), akipokea tuzo
ya umahiri ya ‘cacia CEO Excellence Award 2014’ na Afisa Mtendaji Mkuu wa Acacia,
Brad Gordon, wakati wa hafla ya kutoa tuzo kwa viongozi wa juu wa mgodi na wafanyakazi
waliofanya vizuri mwaka uliopita. Hafla hiyoilifanbyika kwenye mgodi wa Bulyanhulu, wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga
juzi. Kushoto ni Meneja wa mgodi wa Bulyanhulu, Michel Ash.
Meneja wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni
ya Acacia, Michel Ash, (kushoto), akimkabidhi tuzo ya umahiri ya Acacia CEO Excellence
Award 2014, mfanyakazi wa mgodi huo, Andy Mwakibete, wakati wa hafla ya kutoa tuzo
iliyofanyika kwenye mgodi huo juzi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya uchimbaji madini ya
Acacia, Brad Gordon, (kulia), akimkabidhi tuzo ya umahiri 'CEO Excellence
Award', afisa kutoka kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa umma wa mgodi wa
dhahabu wa North Mara, Geoffrey Nangai, aliyepokea kwa niaba ya mgodi huo,
kwenye hafla ya kila mwaka ya kutoa tuzo kwa vitengo na wafanyakazi mmoja mmoja
wa kampuni ya Acacia ilifanyika juzi kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu,
wilaya ya Msalala mkoa 2wa Shinyanga.
Meneja wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, Michel Ash, akitoa
hotuba
Afisa Mtedaji Mkuu wa Acacia, Brad Gordon, akitoa hotuba
Wafanyakazi wa Acacia, wakisikiliza hotuba ya Afisa Mtendaji
Mkuu wa kampuni hiyo, Brad Gordon
Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia,
akiserebuka wakati wa hafla hiyo
0 comments:
Post a Comment