Nafasi Ya Matangazo

February 23, 2015

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Mhe. Angela Kairuki akizindua mikopo a nyumba ya miaka 20 ya beniki ya FNB jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao wa FNB, Silvest Arumasi.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Mhe. Angela Kairuki akizungumza jambo na  Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao wa FNB, Silvest Arumasi baada ya uzinduzi huo.
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Mhe. Angela Kairuki na  Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Huduma kwa Mtandao wa FNB, Silvest Arumasi (kulia) wakizungumza na mmoja wa wadau wa FNB baada ya uzinduzi huo.
Waalikwa katika hafla hiyo wakifuatilia kwa umakini tukio hilo.
Posted by MROKI On Monday, February 23, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo