Nafasi Ya Matangazo

January 21, 2015

 Maonesho ya miaka 40 ya Chuo cha Usafirishaji (NIT) yanaendelea katika viwanja vya chuo hicho Mabibo Dar es Salaam ambapo taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi zinashiriki maoanesho hayo na wadau wengine wa usafirishaji kama Polisi. Pichani ni Ofisa kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini (SUMATRA CCC), Khalil Ibrahim akitoa somo kwa wananchi.
 Ofisa kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini (SUMATRA CCC), Khalil Ibrahim akitoa somo kwa wananchi. Maonesho hayo yanataraji kufungwa kesho.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo (kulia) akizungumza na mmoja wa wadau wa usafiri katika banda hilo. 
 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) nayo ipo katika maonesho hayo.
 Wakipewa somo juu ya kijuinga na masomo ya urubani.
 Mtumishi wa Baraza la Watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga Tanzania, akitoa elimu kwa wananchi.
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akifafanua masuala mbalimbali ya baraza hilo kwa watu waliotembelea banda la baraza hilo jan ,katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 40 ya Chuo cha Usafirishaji (NIT) yanayoendelea Chuoni katika viwanja vya Chuo hicho Mabibo Dar es Salaam
Wananchi wakiwa katika Banda la Shirika la Reli Tanzania (TRL).
Posted by MROKI On Wednesday, January 21, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo