BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji wa kimataifa raia wa
Uganda Emmanuel Okwi lilifanikiwa kuipa timu ya Simba ushindi wa kwanza tangu
kuanza kwa msimu huu baada ya kutoa sare mfululizo katika mechi sita zilizo
pita.
Okwi alifunga bao hilo katika dakika ya 78 akimalizia mpira
uliotemwa na kipa wa Ruvu Shooting Abdallah Rashind na kusababisha kulipuka
nderemu na vifijo kwa mashabiki wa Simba ambao walikuwa wanyonge kutokana na
mwenendo ulioanza nao timu yao msimu huu.
0 comments:
Post a Comment