Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi
John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka
hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge
walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye
zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid.
Mh. Margaret Sitta akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri
wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge
200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya
zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
Waziri wa Ofisi ya Rais, Prof. Mark
Mwandosya akijiandaa kupimwa urefu na mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga
Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge
walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye
zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.Seif Rashid.
0 comments:
Post a Comment