Vicky
Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya Tan Communication
Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha,katikati ni Yacob Simba na Godfrey Thomas wakiwa wanajadili jambo
Kulia
ni Lucy Bongole ambaye ni mwanasalamu wakiwa wanajadiliana na wenzake
katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru katikati ni Zuhura Mbise maarufu
kwa jina la mama Sosy,kushoto ni Sister Monduly
Wanasalamu
kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja
vya hospitali ya Mt.Meru mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea
wagonjwa (Habari Picha na Pamela wa Jamiiblog)
0 comments:
Post a Comment