Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa
Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.Picha zote na Othman Michuzi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maimuna Tarishi
akitoa hotuba fupi kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi,Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuja kufungua Maonyesho
ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)"
kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii
Tanzania,Balozi Charles Sanga akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa
Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Sehemu ya Wageni kutoka nchi
mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili
International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini
Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Wadau wakipata taswirazzz
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi wa kanda
ya Afrika wa Utalii nchini Afrika Kusini,Bi. Evelyn Mahlaba (nywele
nyeupe) wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili
International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini
Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia namna mahindi yanavyosagwa na
kupatikana ungwa wakati alipotembelea Banda la Maonyesho ya Utalii la
Burundi,kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International
Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam
leo Oktoba 2,2014.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia ngoma ya utamaduni ya Taifa la
Burundi alipotembelea Banda la Maonyesho ya Utalii la Burundi,kwenye
Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo
(SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba
2,2014.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikifurahia Kibuyu kikubwa alichokikuta kwenye Banda la Utalii la Burundi.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya Utalii kutoka kwa Afisa
Uhusiano wa Bodi ya Utalii Tanzania,Geofrey Tengeneza.
PICHA ZAIDI BOFYA MTAA KWA MTAA
0 comments:
Post a Comment