Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya siku moja kwa wajumbe wa idara ya
utumishi wa walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara iliyofanyika mkoani
Morogoro leo Alhamisi Oktoba 23, 2014

Mjumbe wa semina
ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kwa wajumbe wa
idara ya utumishi wa walimu kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, akisoma
kipeperushi chenye maelezo ya kina ya huduma zitolewazo na mfuko huo,
wakati wa semina
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa timu ya Polisi Morogoro, Jumatano Oktoba
22, 2014, wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mfuko huo kwa
wachezaji hao na wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, wanaohudhuria semina
ya siku moja iliyuoandaliwa na Mfuko huo Mkoani Morogoro, Alhamisi Oktoba 23,
2014
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Neema
Muro, akiwasalimia wajumbe wa semina wakati wa chakula cha usiku
kilichoandaliwa na PSPF.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Constatina Martin, akiimba sambamba na Msanii Mrisho Mpoto almaarufu kama
Mjomba, wakati wa chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mfuko huo Jumatano
Oktoba 22, 2014, kwa wajumbe wa idara ya utumishi wa walimu, wanaohudhuria
semina ya siku moja iliyoandaliwa na PSPF mkoani Morogor.
Picha zaidi bofya KIDEVU MATUKIO
0 comments:
Post a Comment