Wachezaji wa Man U wakishangilia goli la pili la Wine Roone
Leo ni siku njejma sana kwa mashabiki na wafuasi wa timu ya Manchester United na Yanga kwa nchini Tanzania na huenda leo wakapata usingizi baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa bao 4-0 hadi dakika ya mwisho ya ya mchezo dhidi ya Queens Park
Rangers (QPR) hii ni kwa mchezo wa Primer League na Yanga kuwashinda mabingwa wa Soka Tanzania bara Azam FC 3-0 na kutwaa ngao ya Jamii.
Mvua
hiyo ya magoli ilianzishwa na nyota wake mpya Angel di Maria alipopiga
mkwaju wa adhabu ndogo dakika ya 24 na badae goli la pili kufungwa na Ander Herrera dakika ya 36 na Wayne
Rooney dakika 48 kutupia la tatu na kuipeleka mampumzika ikiwa na ushindi wa 3-0.
Kipindi cha pili Juan
Mata alifuka pazia hilo la ushindi wa mabao kwa kutupia la nne dakika ya 58 na kuifanya Man U kumaliza 4-0 na kunyakua posinti 3 muhimu.
TIMU ZILIPANGWA KAMA HIVI
TIMU ZILIPANGWA KAMA HIVI
Manchester United
01 de Gea
02 Rafael (A Valencia -
67' )
05 Rojo
42 Blackett
06 Evans
07 Di María (Januzaj - 82'
)
17 Blind
21 Herrera
08 Mata (Falcao - 67' )
20 van Persie Booked
10 Rooney
Queens Park
Rangers
01 Green
05 Ferdinand
06 Hill (Traore - 45' )
14 Isla
04 Caulker
23 Hoilett
19 Kranjcar
30 Sandro (Henry - 74' )
10 Fer
09 Austin (Vargas - 59' )
07 Phillips
0 comments:
Post a Comment