Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene akizungumza jambo wakati wa mkutano kuhusiana na malipo ya wakazi wa Kurasini Jijini Dar es Salaam kupisha mradi mkubwa wa biashara Afrika Mashariki na Kati. Pamoja nae ni Waziri wake Dk. Abdallah Kigoda.
Mkurugenzi EPZA, Dr. Adelhelm Meru, kulia kwake akiwa na
Mkurugenzi msaidizi idara ya maendeleo ya viwanda Wizara ya viwanda na
biashara, Bi. Elli N. Pallangyo
Wakurugenzi kutoka wizara ya viwanda na biashara na wa
EPZA wakiwa kwenye mkutano wa dharura wa malipo ya fidia kwa wananchi wa
Kurasini waliochukuliwa makazi yao kwa ajili ya kujenga mradi wa Kurasini
Logistics Centre.
0 comments:
Post a Comment