Tangazo la Msiba: Advocate Samuel Ole Lemboko Amefariki Alasiri leo 01/07/2014 Katika hospitali ya Agha Khan.
Ni majonzi makubwa kutoa taarifa ya msiba wa Shemeji yake Innocent Mungy wa TCRA, Advocate
Samuel Ole Lemboko, baba yao Jackline Lemboko, (Chicky), baba yake
marehemu John Lemboko, na mume wa marehemu dada yake mkubwa Maria
Lemboko (Maria Lelo).
Mipango ya mazishi inafanyika hivi sasa na taarifa ya wapi msiba upo na mengine baada ya utaratibu
utakaoamuliwa na familia itatolewa baadae.
Kwa wale wanaomfahamu Innocent Mungy ,basi alilelewa na amelelewa na shemeji yake huyo pamoja na dada yake Maria tangu akiwa na umri wa miaka 12.
Bwana alitoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
imetolewa na
INNNOCENT MUNGY
Bwana alitoa, bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
imetolewa na
INNNOCENT MUNGY




0 comments:
Post a Comment