Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF,
Abdul Njaidi, (Kulia), akikabidhi msaada wa vyakula ikiwemo Mbuzi, kwa watoto
wanaolelewa kwenye kituo cha kulea yatima cha Mwandaliwa kilichoko Bunju nje
kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. PSPF, imetoa misaada kama hiyo kwa vituo
sita vya yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd.
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Magira Werema,
(Kulia), akikabidhi Mbuzi na vyakula kwa watoto wa kituo cha kulea watoto
yatima cha Chakuwama, Sinza jijini Dar es Salaam jana. Mfuko huo umekabidhi
misada kama hiyo kwa vituo vingine sita jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd
inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki.
Afisa anayeshughulikia masuala ya fedha, wa Mfuko w
aPensheni wa PSPF, Mohammed Madenge, (Wakwanza kjulia), akifuatana na Afisa
Uhusiano Mwandamkizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi, (Katikati), na afdisa masoko,
Magira Werema, wakikabidhi msaada wa vyakula ikkiwemo Mbuzi, kwa kituo cha
kulea watoto hyatima cha Mwandaliwa kilichoko Bunju nje kidogo ya jiji jana.
PSPF, imekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vinghine sita jijini kwa ajili ya
khjusherehekea sikukuu ya Idd inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki au
mwanzoni mwa wiki.
Afisa Uhusioano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Abdul Njaidi, (Wapili kulia), akimsalimia Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto
Yatima, (CHAKUWAMA), kilichoko Sinza jijini Dar es Salaam jana, baada ya
wafanyakazi wa Mfuko huo kukab idhi misaadsa ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya
Idd. Mfuko huo pia umekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vingine sita vya
yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Kulia ni Afisa wa fedha wa Mfuko
huo, Mohammed Madenge, na kushoto ni A\fisa Masoko, Magire Werema
0 comments:
Post a Comment