Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi
(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wa kati wa semina ya siku moja Dar
es Salaam hivi karibuni juu ya mikakati na Mwelekeo wa Wizara yake katika Sekta ya umeme nchini katika kipindi cha mwaka 2014-2025. Wengine
kutoka kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Nishati ya umeme, Innocent Luoga na
Naibu MkurugenziMtendaji wa Uwekezaji Tanesco, Declain Mhaik.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment