Mhariri wa gazeti la
ThisDay, Fumbuka Ng’wanakilala (aliyebeba msalaba), pamoja na wadogo zake,
Lugendo (kushoto) na Manyanda (kulia), wakiwaongoza
waombolezaji waliobeba jeneza lenye mwili wa Baba yao, Marehemu Mwl. Nkwabi
Ng’wanakilala baada ya kuwasili nyumbani kwao Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar
es Salaam Julai 01 mwaka huu, kwaajili mazishi. Mwl. Ng’wanakilala, ambaye alikuwa Mhadhiri
katika Idara ya Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu
Augustino (SAUT), jijini Mwanza alifariki Juni 27, katika Hospitali ya Bugando
baada ya kusumbuliwa na matatizo ya figo na tumbo. |
0 comments:
Post a Comment