Nafasi Ya Matangazo

July 15, 2014

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati),katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Mada Maugo wakati wa utambulisho wa mpambano wao Dar es salaam juzi utakaofanyika siku ya tamasha la matumaini Agost 8 katika uwanja wa taifa.
 
Wasanii ambao watazipiga siku hiyo Clouds 112 (kushoto) akimchimbia mkwara JB ambaye aliishia kumuangalia kidharau na kusema anasubiri siku ya Agosti 8 katika Uwanja wa Taifa.
Posted by MROKI On Tuesday, July 15, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo