MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la HABARILEO, Bwana Osca Mbuza anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Emanuel Mbuza
aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Wilaya ya Mbeya Mjini kilichotokea usiku wa kuamkia Julai 9 mwaka huu katika Hospitali Teule ya Tumbi Kibaha.
Mipango ya mazishi inafanyika Tabata Mawenzi Jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Ndugu Oscar Mbuza. Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake
Lihimidiwe sote tuko njia moja kaka tunakuja.
0 comments:
Post a Comment