Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo amekumbuka enzi za kuwa mwalimu katika
Chuo cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania cha Monduli, Arusha, alipotoa
mhadhara kuhusu Fursa (A lecture of Opportunity) katika
Chuo cha Taifa cha ulinzi (National Defence College -NDC- ) kilichopo
Kunduchi jijini Dar es salaam ambako aliahidi kwamba
baada ya kustaafu Urais mwakani atakuwa mwalimu chuoni hapo.
Rais Kikwete akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wanafunzi
hao baada ya mhadhara wake.
0 comments:
Post a Comment