Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijadiliana namna
kuanza zoezi la kufanya usafi katika maeneo yayoizunguka ofisi ya Mkuu
wa Mkoa wa Tanga. Shindano hilo litafanyika jumamosi 21/06/2014/ Mkonge
Hotel.
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika
gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo
atapata zawadi ya gari dogo aina ya Toyota Vitz
Zoezi la usafi limepamba moto na kuliacha eneo hilo safi kabisa. Mgeni
rasmi katika shindano hilo atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa
Chiki Gallawa
0 comments:
Post a Comment