Nafasi Ya Matangazo

May 23, 2014



Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli (Mb) leo amewaapisha jumla ya Waandisi 130 wakiwemo baadhi ya Naibu Mawaziri, Naibu Makatibu Wakuu, Wabunge na Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi.

Baadhiya Viongozi walio apa leo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Verynice Kawiche, ni Mhandisi Gerson Lwenge (Mb), Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Charles Tizeba (Mb), Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhandisi Mussa Iyombe, Katibu Mkuu waWizara yaUjenzi, Mhandisi Bashiri Mrindoko, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Joseph Nyamhanga, Naibu Katibu Mkuu Wizara yaUjenzi.

Viongozi wengine walio apa ni Katibu Tawala Mkoa wa Katavi, Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar Mhe. Hamadi Massauni, pamoja na Mbunge waTunduru Mashariki Mhe. RamoMakani

Pia kiapo hicho kitawafanya Wahandisi kufanyakazi kwa maadili bila kuvunja miiko au kulazimishwa kufanyakazi kinyume na maadili.

Baadhi ya Wahandisi viongozi walioapa hii leo
Posted by MROKI On Friday, May 23, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo