Hatimaye filamu ya JICHO LANGU
imetoka siku ya leo. Sasa unaweza kujisogeza taratibu madukani kujipatia nakala
yako. Usisubiri wenzako waangalie ndipo usimuliwe, wewe unatakiwa kuwa wa
kwanza kuwasimulia wenzanko juu ya kile utakachokiona katika filamu hii ambayo
Watanzania wengi na wana Afrika Mashariki wamekuwa wakiisubiri kwa hamu
sana.
Kama
ulikuwa hujui, filamu hii imetengenezwa na kampuni ya J-FILM 4 LIFE kwa
viwango vya kimataifa, hasa ukiangalia color, sound na wahusika waliocheza
katika filamu hii. Ujumbe uliomo hakika unafaa kabisa katika jamii yetu
inayotuzunguka. Utaweza kumuona Odama akifanya yake katika filamu pamoja na
wasanii wengi maarufu ambao umewasikia. Usipange kuikosa filamu hii maana
imefunika mbaya.
0 comments:
Post a Comment