Nafasi Ya Matangazo

April 06, 2014

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimnadi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Miono.
  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar Dk.Mohamed Shein akimsalimi mgombea wa Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati akiwasili  kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Miono.
 Mama Salma Kikwete akimsalimia mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM kwenye viwanja vya shule ya Kikaro ambapo kampeni hizo zilihitimishwa.
 Mamia ya watu waliofurika kwenye mkutano wa mwisho wa kampeni za CCM uliofanyika Miono wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye alipokuwa anahutubia.
 Sam wa Ukweli akitumbuiza wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika Miono,Chalinze.
Ridhiwani Kikwete mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze akicheza na wasanii maarufu wa mkoa wa Pwani wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika Miono.
 Miono ilivyofurika
Posted by MROKI On Sunday, April 06, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo