Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa (kulia) akiwa na bibi yake, Consolata Semgovano wakipungia mikono wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga, Iringa Vijijini leo.
Nyumbani alikozaliwa babake na mgombea ubunge Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa, marehemu Dk. Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo.Msafara wa Mgimwa ukiingia katika Kijiji alichozaliwa cha Magunga.
Mgimwa akisalimiana na wazee wa Kijiji hicho.
Mgimwa akisalimiana na akinamama wa kijiji hicho.
Mzee wa Kijiji cha Magunga akicheza kwa furaha wakati wa kumpokea Mgimwa
Ni nderemo nderemo kwa kwenda mbele ikiwa ni furaha ya wakazi wa kijiji hicho wakati wa kumlaki Godfrey Mgimwa.
Mgimwa akijiunga kucheza na wanakijiji wenzie alipowasili katika Kijiji chao cha Magunga
Msanii wa muziki wa kiszazi kipya na filamu, Ummy Wenslaus 'Dokii'akifanya vitu vyke katika mkutano huo wa kampeni
Wananchi wakinyoosha mikono ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyoi Godfrey Mgimwa siku ya uchaguzi Machi 6, mwaka huu.
Kila mara ilikuwa ni furaha
Mgimwa akiongozwa na wanakijiji wenzie |
Bibi yake Godfrey Mgimwa , Consolata Semgovano akitoa neno la baraka kwa mjukuu wake ili ashinde uchaguzi huo.
0 comments:
Post a Comment