Nafasi Ya Matangazo

March 18, 2014



Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Adelaide cha Jijini Adelaide nchini Australia Alec Gilbert (wa tatu kushoto), akitoa maelezo ya namna ya ujenzi na uendeshaji. Baadhiya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa AICC, Mkurugenzi Mwendeshaji na Maofisa wawili wapo nchini Australia katika ziara ya mafunzo ambapo mbali na kutembelea Kituo cha Adelaide pia watatembelea Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Melbourne kilichopo katika Jijini la Melbourne chini Australia.
Posted by MROKI On Tuesday, March 18, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo