Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Serengeti
Breweries Limited (SBL), Ephraim Mafuru (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi
wa habari, Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Winda na
Shinda safari ya Brazil na Serengeti ambapo washindi watakwenda nchini humo
kushuhudia matukio mbalimbali pamoja na vivutio vya utalii. Katikai ni Meneja
Masoko wa SBL, Allan chonjo na mmoja wa washindi wa promosheni hiyo, Tom Mbaraka.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) , Allan Chonjo akizungungumza kuhusiana na promotion hiyo na katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya Serengeti
Breweries Limited (SBL), Ephraim Mafuru
Mabalozi wa SBL wakiwa kazini.
Burudani ikitolewa na mabalozi wa SBL kunadi promotion hiyo.
0 comments:
Post a Comment