Mtaalamu wa Lishe Bi Julita
kutoka USAID Tuboreshe Chakula Project akimuelekeza mgeni rasmi katibu tawala
wilaya Kongwa, Bw Joseph Kisyela umuhimu na jinsi ya kutumia Virutubishi
ambavyo ni muhimu kwa watoto wenye umri wa miezi 6 hadi miaka 5. Sherehe hizo
zilifanyika Wilaya Kongwa,kata ngomai mkoani Dodoma leo.
Timu ya wataalam
Mkazi wa Kongwa akimsikiliza kwa makini,Mtaalamu wa lishe toka
USAID Tuboreshe chakula, Bi Mariam akielimisha faida na umuhimu wa virutubishi
kwa mtoto umri wa miezi 6-miaka5.
Baadhi ya kina mama wenyeji wa
kijiji cha ngomai,wakishiriki zoezi la kunywesha watoto kampeni za lishe bora
zinazoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe chakula.
0 comments:
Post a Comment