Mkuu wa
Wilaya Babati Khalid Mandia kulia,akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID
Tuboreshe chakula,wakichanganya virutubishi kwenye uji wa mtoto uliotayarishwa
tayari kwa watoto wadogo kunywa.Umasishaji wa lishe bora umefanyika leo wilaya
ya babati vijijini.
Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia,akimkabidhi mama mwenye mtoto
chini ya miaka mitano,unga ulioongezwa virutubishi,katika uhamasishaji wa matumizi ya virutubishi
unaoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe chakula Babati vijini leo.
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Bwana Khalid Mandia ,akimsikiliza
kwa makini mtaalamu wa Lishe bi Sarah luzangi ,Kutoka USAID Tuboreshe Chakula
katika kampeni za uhamasishaji matumizi
ya virutubishi vijjini leo.
Mkurugenzi Halmashauri ya mji Babati
mjini ,Bwana Omari Mkombelo akisalimiana na timu ya waendesha kampezi za
matumizi ya chakula kilichoongezwa virutubishi kwa watoto umri wa miezi
6-miaka5.kulia ni Bi Leah kutoka USAID tuboreshe chakula.
0 comments:
Post a Comment