Nafasi Ya Matangazo

February 25, 2014

 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia  wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo
 Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea  jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana na familia zao katika siku ya  Family Day iliyofanyika   katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo  mkoani Pwani.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa siku ya FamilyDay iliyofanyika  jana katika Hoteli ya   Livingstone Wilayani Bagamoyo.
  Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa  Hoteli  ya Livingston Bagamoyo ,siku  hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia zao.
 Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa  akimkabidhi  mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa  Family Day iliyofanyika   katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
 Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki  wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo siku hiyo ni maalumu kwa wafanyakazi na familia zao.
 Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika  Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo 
Posted by MROKI On Tuesday, February 25, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo