Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiburudika kwa kucheza muziki sambamba na wakina Mama wakazi wa Kata ya
Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam,Mwishoni mwa wiki wakati
alipokwenda kuendesha harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi
wa Shule ya pili ya Sekondari katika Kata hiyo.Zaidi ya Sh. Mil. 100
ziliweza kupatikana kwenye harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipena
mikono na Wakazi mbali mbali wa Kata ya Saranga,Kimara wakati akiendesha
harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya pili ya
Sekondari katika Kata hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisisitija jambo kwa wananchi wakazi wa Kata ya Saranga,Kimara jijini
Dar es Salaam wakati wa harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya
ujenzi wa Shule ya pili ya Sekondari katika Kata hiyo,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki.
Diwani
wa Kata ya Saranga (CHADEMA),Mh. Ephraim Kinyafu akizungumza machache
wakati wa harambee hilo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Kata ya
Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam.
Mjumbe
wa NEC (CCM) Wilaya ya Kinondoni,Kalist Lyimo akisisiza jambo kwa
wakazi wa Saranga,Juu ya umuhimu wa kuchangia harambee hiyo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata
ya Saranga,Gwelino Kalinga akizungumza wakati wa Ufunguzi wa harambee
hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipena
mkono na Mjumbe wa NEC (CCM) Wilaya ya Kinondoni,Kalist Lyimo.
Mmoja wa wakazi wa Kata hiyo ya Saranga akizungumza.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapongeza vijana wa Chipukizi mara baada ya kutoa ngonjera nzuri.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiangalia burudani iliyokuwa ikitolewa na wakazi wa Kata ya Saranga.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akimsikiliza kwa makini Diwani wa Kata ya Saranga (CHADEMA),Mh. Ephraim
Kinyafu wakati akimueleza jambo.
Sehemu
ya wakazi wa Kata hiyo ya Saranga,Kimara jijini Dar es Salaam wakiwa
kwenye hafla hiyo ya Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Sekondari
ya kata hiyo.
0 comments:
Post a Comment