Nafasi Ya Matangazo

November 04, 2013

IMG_4579Padre Evod Shao akiongoza ibada ya misa kwa lgha ya Kiswahili inayofanyika mara moja kila mwezi katika kanisa katoliki la Mt.Edward huko Baltimore Md. Jumapili Novemba 3, 2013 ambapo katika ibada hiyo waumini walikumbuka marehemu wote.IMG_4578Baraka Daudi akifuatilia ibada.IMG_4577Waumini wakifuatilia ibada.IMG_4585 Bw.Steve Msungu na mamaa Esther na Jr.wakifuatilia ibada hiyo. IMG_4576The Ngayoma's wakiwa na Bw.Kenny Kulia.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
Posted by MROKI On Monday, November 04, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo