
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9
vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa
Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.
0 comments:
Post a Comment