Nafasi Ya Matangazo

October 09, 2013

MikutanoyamwakayaBodiyaMagavanayaShirika la Fedha la Kimataifanakundi laBenkiyaDuniakwamwaka 2013 imeanzarasmileomjini Washington D.C. Mikutanohiiitafikiakilelechakehapotarehe 11 – 13, mweziOctoba,2013.

BodiyaMagavanawakundi la BenkiyaDunia( Benki ) naBodiyaMagavanawaShirika la Fedha la Kimataifa ( Mfuko)  kwakawaidahukutanamaramojakwamwakakujadilikazizaTaasisizinazowahusu. Mikutanohiihufanyikamjini WashingtonDC kwamiakamiwilimfululizonakwamwakawatatuhufanyikakwanchimwanachama.

WaziriwaFedhawa Tanzania Mhe. Dkt. WilliumMgimwa , KatibuMkuuwaWizarayaFedha Dr. Silvanus LekwililepamojanaGavanawaBenkiKuu  Prof. 

BennoNduluwaoniMagavanawamikutanohiyo.Nchikaribuzotezimeshawasilikatikamikutanohii.
‘Lengo la mikutanohiikwanchiya Tanzania, inatupanafasiyakuwezakujadiliananaBenkiyaDuniapamojanaShirika la Fedha la Kimataifakuhusiananahaliyauchumikwamaanaya sera zafedhana sera zamapatonamatumizi. Niayaokubwanikutusaidianakusikia tuna mawazoganinamaeneoganiwanawezawakatusaidiakatikakuboreshanakuangaliakwambanchiyetuinaendeleakufanyavizuri’.HayayamesemwanaWaziriwaFedhaMhe. Dkt. WiliamMgimwaalipokuwaakijadiliananaujumbekutoka Tanzania.

AidhaMhe. Dkt. Mgimwaalisemakuwa, KatikamazungumzonaBenkiyaDuniapamojanaShirika la Fedha la Kimataifa, ujumbewa Tanzania utawasilishahalihalisiyautendajiwakiuchumiwa Tanzania nahaliyamatumizinamapatoyafedhana mambo yanayohusiananataasisizinazoendeshanishatikama vile Shirika la umemeTanazania (Tanesco)nashirika la maendeleoyamafuta Tanzania (TPDC)pamojanakutazamamienendoyamadeniyetunamwenendowamapatokwaujumla.

Haliyahewamjinihapaniyamanyunyunamvuazahapana pale.
Posted by MROKI On Wednesday, October 09, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo