Nafasi Ya Matangazo

October 06, 2013

 Baadhi ya wahitimu wa kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi kwa Msuguri wakati wa mahafali yao hapo jana
 Ukumbi ukiwa umesheheni Wahitimu wa kidato cha nne pamoja na wazazi wao waliokuja katika mahafali yao yaliyofanyika katika Shule hiyo hapo jana
Gasto Shao Mwanafunzi wa Kidato cha Nne na wenzie akipokea cheti kutoka kwa Mgeni Rasmi Mh Abdallah Bulembo wakati wa mahafali ya Kidato  cha nne ya Shule ya St Anne Marie iliyopo Mbezi Kwa Msuguri hapo jana
 Wanafunzi wanaotarajia Kumaliza elimu ya Kidato cha Nne ya Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi Kwa Msuguri wakichukua vyeti kutoka kwa Mgeni rasmi Mh Abdallah Bulembo wakati wa mahafali yao yaliyofanyika jana katika Shule hiyo iliyopo Mbezi kwa Msuguri
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya St Anne Marie wakiwa kwenye nafasi zao huku wakingojea kukabidhiwa vyeti na mgeni rasmi Mh Abdallah Bulembo (hayupo pichani) wakati wa mahafali yao yaliyyofanyika jana katika Ukumbi wa Shule hiyo iliyopo Mbezi kwa Msuguri
Gasto Shayo (mwenye joho) akiwa na Ndugu zake wakati walipokwenda kuhudhuria mahafali yake yaliyofanyika hapo jana katika Shule ya Sekondari ya St Anne Marie iliyopo Mbezi kwa Msuguli. PICHA ZAIDI  Lukaza Blog
Posted by MROKI On Sunday, October 06, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo