Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2013

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoa huo, leo jioni kwa ajili ya kuhudhuria Swala  na Baraza la Iddi Kitaifa Mkoani Tabora kesho, katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Mkamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika Ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki katika swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati wa hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika ikulu ndogo Mkoani Tabora leo jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wakazi wa Mkoani Tabora baada ya kushiriki nao katika hafla ya Futari ya pamoja iliyofanyika katika Ikulu ndogo leo jioni. Katikati ni Mbunge Tabora Mjini, Ismail Aden Rage.
Posted by MROKI On Thursday, August 08, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo