Nafasi Ya Matangazo

August 02, 2013

Mkurugenzi wa masoko wa TBL Kushilla Thomas mwenye shati jeupe akishirikiana na wadau mbalimbali katika futari maalum iliyoandaliwa kwaajili kufuturu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo futari hiyo iliandaliwa na kinywaji kisicho na kilevi cha Grandmalt.

Wadau mbalimbali wakiongozwa na Kabula Nshimbo wakishirikiana na wadau mbalimbali katika futari maalum iliyoandaliwa kwaajili kufuturu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo futari hiyo iliandaliwa na kinywaji kisicho na kilevi cha Grandmalt.
 Meneja masoko wa Tbl Fimbo Mohamed Buttala akizungumza na waandishi wa habari kwenye futari maalum iliyoandaliwa na kinywaji cxha GrandMalt ikiwa ni sehemu ya kutambua Mwezi mtukufu wa ramadhani ambapo futari hiyo iliandaliwa na kinywaji kisicho na kilevi cha GrandMalt
Meneja wa Chapa ya Safari Lager, Oscar Shelukindo nae akijisevia futari.
Posted by MROKI On Friday, August 02, 2013 1 comment

1 comment:

  1. Hii ni kudhihaki dini. Ni kama muuza nguruwe kutoa zaka kutokana na pato lake.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo