Mkuu
wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu kulia na Meneja kampuni ya bia (TBL)
Nicolaus Kanyamala wakizindua kisima cha kijiji cha Isnura
|
| Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu akimtwisha maji mwenyekiti wa kijiji cha isnura Josephine ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima hicho |
| Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Gulam Kiffu akiwashukuru TBL kwa kusaidia maji katika kijiji cha isnura na kuahidi kukitunza kisima hicho |
| Mwenyekiti wa Kijiji cha Isnura Josphine Ndimilage akisoma risala kwa niaba ya wananchi |




0 comments:
Post a Comment