Nafasi Ya Matangazo

July 01, 2013

 Mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Daily News,HABARILEO, Sunday News, HABARILEO JUMAPILI na SPOTI LEO, Jitihada Kitundu akizungumza katika banda la TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN) LIMITED.
 Timu nzima ya TSN ikiwa bandani kwao.
 Timu nzima ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) wakihudumia wageni katika Banda lao hii leo. 

FATHER KIDEVU BLOG INAWAKARIBISHA WADAU WOTE NA WASHIRIKI WA MAONESHO YA SABASABA KWAAJILI YA KURUSHWA HEWANI. WASILIANA NASI 0717002303


 tsn Supermarket nao wapo Sabasaba katika Maonesho ya Biashara mwaka huu na bidhaa zao nyingi.
 Kampuni kongwe yta Simu TTCL nao wapo katika banda lao la miaka yote.
 Kampuni kubwa na wazalishaji wa maziwa na Bidhaa mbalimbali za maziwa ASAS DAIRIES LTD kutoka Mkoani Iringa nao wapo Sabasaba.
Hawa wamesha nunua wanaondoka
Posted by MROKI On Monday, July 01, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo