Nafasi Ya Matangazo

July 25, 2013

Pichani ni Mather Joseph mwenye umri wa mika 16. ni manfunzi wa Chuo cha ufundi cha St. Peter Parish aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko oysterbay akiwa amevalia ngua za shule sketi ya damu ya mzee na shati jeupe (uniform)

Tangu siku hiyo hajaonekana wala hatuna taarifa zozote tumemtafuta katika Hospitali zote za jijini Dar es Salaam, ikwemo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mwananyamala,Amana na kwingineko lakini bado hatujafanikiwa kumpata.

Pia taarifa hizi zimeripotiwa katika kituo cha Polisi cha kigamboni ,kwa RB namba ,KGD/RB 5017/2013 kwa yeyote atakaye muona atoe tarifa katika kituo chochote kilicho[po karibu naye.

Nyumbani kwao ni Kigamboni kota za Jeshi la Wanamaji Kigamboni, Kabila lake ni msukuma.kwa mawasiliano zaidi wasiliana na
0718 038128.
Posted by MROKI On Thursday, July 25, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo