Nafasi Ya Matangazo

July 19, 2013

IMG_3118Mama Balozi Liberata Mula mula akipokelewa na mama Munanka baada ya kukutana na kujitambulisha kwa rais Obama huko White house alhamisi. Balozi Mula mula alitoa shukrani za dhati kwa mabalozi wenzake waliofika kumpongeza pamoja na Mh.EL mbunge wa Monduli na watanzania wote waliokuwapo kwa kuhudhuria hafla hiyo. Pamoja na mambo mengine alieleza pia kushangazwa kwake na kufurahishwa na mapokezi yasiyo na makuu yalio ya kifamilia zaidi aliyopewa huko White house na Rais Barack Obama na familia yake alipowasilisha hati zake za utambulisho siku ya alhamisi Julai 18. IMG_3168Mama Balozi Mula mula akiwa na mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa bunge la Tanzania na mbunge wa Monduli Edward Lowassa. IMG_3143Mchungaji Shideko akifungua kwa sala. IMG_3125Mc wa shughuli hiyo Mindi Kasiga na afisa habari ubalozini akitoa utaratibu. IMG_3164Mama Munanka akiwa na Raymond Maro. IMG_3153Mama Munanka akiitambulisha familia yake. IMG_3145 Balozi wa Rwanda nchini Marekani Prof.Mathilde Mukantabana akisikiliza kwa makini.
IMG_3178Shamis akiwa na balozi wa Burundi nchini Marekani.Kwa taarifa zaidi bofya www.sundayshomari.com
Posted by MROKI On Friday, July 19, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo