Mwanasheria
wa Benki ya Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada
waliotoa kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar es Salaam jana, Sakina Hassani. Vitu vimetokana na michango
ya wafanyakazi wanaofanyakazi katika benki hivyo.
Mwanasheria
wa Benki ya Barclays, Farija Ghilas akimkabidhi sehemu ya msaada
waliotoa kwa watoto waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar es Salaam, Sakina Hassani. Vitu hivyo vimetokana na michango
ya wafanyakazi wanaofanyakazi katika benki hivyo.
Rahma
Said mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam akipokea sehemu ya msaada
uliotolewa na wafanyakazi wanawake wa benki ya Barclays wakati
walipofika kuwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya watoto
katika hospitali ta Taifa Muhimbili. Vitu vilivyokabidhiwa leo ni pamoja
na sabuni, vyandaru, miswaki, vinywaji
baridi pamoja na dawa za meno, vitu hivyo vimetokana na michango ya
wafanyakazi wa benki hiyo.
Poa zawadi ya mafuta mama.
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Barclays, Neema Sengo
akizungumza na waandishi wa habari baada kutembelea wodi ya watoto
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam na kwafariji
watoto walolazwa katika wodi hiyo na kuwabidhi vitu mbalimbali vikiwemo
sabuni, miswaki, vyandarua, mafuta, pamoja na vinywaji baridi kwa watoto
waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam,
leo.
0 comments:
Post a Comment