Nafasi Ya Matangazo

June 10, 2013

Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni wakisikiliza mada mbalimbali juu ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi wakati wa siku maalum ya mabambano dhidi ya Ukimwi Chuoni hapo ilifanyika Ijumaa ya Juni 7,2013. Wanafunzi hao walijitokeza kwa wingi katika upimaji wa afya zao.

 Naibu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Samul Lunyerere akizungumza na wanachuo katika siku hiyo ya maadhimisho ya Ukimu ambayo ilifanyika Ijumaa ya Juni 7,2013.
 Baadhi ya walimu na maofisa wa Chuo hicho nao wakifuatilia mada.
Katibu wa Kamati ndogo ya ufundi ya wanafunzi ya UKIMWI, katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni, Simalenga Simon akifuatilia mada.
 Ofisa wa Afya kutoka Chama Cha Uzazi na Malezi Bora Tanzania (UMATI), Lydia Ndekeja akimpima afya yake mwenyekiti wa Kamati ndogo ya ufundi ya wanafunzi wa UKIMWI, katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni, Mohamed Ali Abdalah wakati wa siku maalum ya mabambano dhidi ya Ukimwi Chuoni hapo jana. Kulia ni katibu wake Simalenga Simon.
Wanafunzi wakichuo vipeperushi mbalimbali vya elimu juu ya UKIMWI
Posted by MROKI On Monday, June 10, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo