Nafasi Ya Matangazo

April 12, 2013



Marehemu Mzee Peter Azaria Mbughuni, aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam amezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Mbughuni  ameacha mke Bi. Anna Mbughuni na watoto watatu  Mhando Mbughuni, Ndojime Mbughuni na Thabea Mbuhuni na mjukuu mmoja pamoja na wakwe zake wawili (Mke wa Mhando na Ndojime) .

Marehemu Mbughuni alizaliwa tarehe 25 Mei, 1950 na kufariki 9 Aprili, 2013 amezikwa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam , Tanga na Morogoro ambako aliishi na kufanya kazi wakati wa uhai wake.

 Mhando Mbughuni na Thabea Mbughuni wakimfariji mama yao.
 Waombolezaji wakiweka sawa sanduku lililona Mwili wa Marehemu Mbughuni kabla ya kulishuisha kaburini.
 Sanduku likiteremshwa kaburini kwa mashine maalum.
 Familia ya Marehemu Mbughuni...
 Mhando akimfariji mama yake
 Waombolezaji mbalimbali ambao ni ndugu jamaa na marafiki kutoka Dar es Salaam, Tanga na Morogoro hasa Mzumbe wakiwa makaburini.
 Prof. Joseph Kuzilwa wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe nae aliwakilisha chuo hicho alichowahi kufanyia kazi Marehemu Mbughuni.Aliyeketi ni Mama Fatukubonye wa Mazimbu Morogoro.
Waombolezaji Makaburini wakati wa Mazishi
Posted by MROKI On Friday, April 12, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo