Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Africa Mashariki (EAC) Dk. Richard Sezibera (kulia) akiwa na
Waziri Mkuu wa Denmark Mh Helle Thorning Schmidt alipotembelea makao
makuu ya jumuiya Arusha,Tanzania.
Waziri mkuu wa Denmark, Helle Thorning Schmidt,
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary
Nagu,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk. Richard Sezibera pamoja
na maofisa wa juu wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja
nje ya jingo jipya la Makao makuu ya EAC jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment