Nafasi Ya Matangazo

March 05, 2013


Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya saruji Tanga, Mary Stefano Msemakweli (kushoto) na Modesta Mbiu (kulia) wakishiriki mbio za kujifurahisha za Vodacom Fun Run za kilomita tano za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2013 mjini Moshi juzi. Tanga Cement ilidhamini kituo cha maji na soda kwa ajili ya wakimbiaji hao.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji Tanga, Erik Westerberg (kulia) na Meneja wa Kiwanda cha Tanga Cement, Injinia Ben Lema wakishiriki mbio za kujifurahisha za Vodacom Fun Run za kilomita tano za Kiimanjaro Premium Lager Marathon 2013 mjini Moshi jana.

Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Mtanga Noor (kulia) akigawa maji ya kunywa kwa baadhi ya wakimbiaji wa mbio na Nusu Marathon za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2013 mjini Moshi juzi. Tanga Cement ilidhamini kituo cha maji na soda kwa ajili ya wakimbiaji hao.


Wafanyakazi wa Tanga Cement wakipasha viungo kabla ya kuanza kwa kindumbwendumbwe cha mashindano ya mwaka huu ya Kilimanjaro Premium Lager Kilimanjaro Marathon mjini Moshi juzi.
Posted by MROKI On Tuesday, March 05, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo