Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya kwa tiketi ya ODM,
Raila Odinga na Waziri Mkuu wa Zamani wa Serikali ya Mwai Kibaki amesema
hayatambui matokeo na Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta.
Odinga amesema hayo wakati akizungumza na wanahabari na
halaiki na kushusha lawama zake kwa tume Huru ya uchaguzi ya IEBC kuwa imerudia
madudu ya mwaka 2007 ambayo yaliingiza nchi katika vurugu kubwa.
“Kamwe hatuwezi kuyatambua matokeo hayo yaliyotangazwa hivi
punde, hivyo tumeamua kwenda Mahakamani kudai haki ya wakenya Walio wengi kisheria”.
Hapa nimetambua mwaka uleeeeeeeeeee huyu ndio alileta shinda alipaswa kwenda ICC kwa Okampo kabisa
ReplyDelete