Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mkurugenzi wa miradi ya Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu
chini wa kusambaza maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013
kwa ajili ya kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi
ya Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza
maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya
kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini. Kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (wa pili kushoto) ni Waziri wa Maji na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wananchi Mji mpya wa Mabwe Pande
(hawapo pichani) wakati alipofika katika mji huo jana Machi 14, 2013 akiwa
katika ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi ya Maji inayosimamiwa na
Dawasa na kutembelea katika Mtambo wa Ruvu Chini kukagua kazi zinazoendelea za
upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini. Kulia ni Waziri wa Maji, Prof. Jumanne
Maghembe (kushoto) ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan
Madabida na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Saidik.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi
ya Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza
maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya
kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini. Kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (wa pili kushoto) ni Waziri wa Maji na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi
wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini jana Machi 14, 2013 wakati Makamu alipofika
eneo hilo jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik,
Waziri wa Maji, Jumanne Maghembe, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza na Mkuu
wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi, wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi na viongozi wa Dawasa baada ya Makamu kutembelea na kukagua kazi
zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo wa Ruvu chini, jana Machi 14, 2013
0 comments:
Post a Comment