JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA
(PSPF)
TAARIFA
KWA UMMA
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unawajulisha
kwamba Mkutano Mkuu wa wadau utakaofanyika tarehe 07 na 08 Machi 2013 kuanzia
saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa JB Belmont
uliopo ghorofa ya 6 ya Jengo la Maegesho la PSPF - Golden Jubilee Towers , Dar
es Salaam.
Madhumuni ya
Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya mwaka na utendaji wa Mfuko na
kutathmini mafanikio na changamoto zinazoukabili Mfuko na Sekta ya Hifadhi ya Jamii
kwa ujumla.
Tafadhali thibitisha ushiriki wako kwa Kaimu
Mkurugenzi Mkuu Makao Makuu, Dar es Salaam au Ofisi za PSPF mikoani kabla ya
tarehe 05 Machi 2013.
“PSPF - Tulizo la
Wastaafu”
Kaimu Mkurugenzi Mkuu
Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi
wa Umma,
Golden Jubilee Towers,
Ghorofa ya 6-13, Mtaa wa Ohio/Kibo,
Central Area, Kiwanja
Na. 8, 9, 12 na 15, S. L. P 4843.
Dar-es-Salaam.
Simu: +255 22 2120912/52
au +255 22 2127375 /6
Nukushi: +255 22 2120930.
0 comments:
Post a Comment