Wanafunzi
wa darasa la 5 na 6 katika Shule ya msingi Uhuru iliyopo Kasulu Mjini Mkoani
Kigoma wakilisagata gozi la Ng’ombe katika uwanja wa shule hiyo hivi karibu
wakati wa mapumziko. Michezo huchangamsha mwili na akili na kuwafanya watoto
kuweza kufanya vizuri zaidi katika masomo yao.
February 04, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment