Meneja wa Kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akikabidhi
tiketi za ndege na hati za kusafiria(passport) kwa kiongozi wa washiriki
wa shindano la Guinness Football Challenge 2013, Mohamed Kobembe kwenye tafrija
fupi ya kuwaaga washiriki hao kabla ya safari yao ya kwenda Nchini Afrika Kusini
kushiriki mashindano hayo Januari 13, 2013. Tafrija hiyo iliyofanyika katika mgahawa wa City Sports
Lounge uliopoa katikati ya jiji la Dar es Salaam.
washiriki
wa shindano la Guinness Football Challenge 2013 wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja
wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akizungumza machache kwa
washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge,kwenye tafrija fupi
iliyofanyika Januari 12, 2013 katika mgahawa wa City Sports Lounge uliopo katikati ya jiji Dar es Salaam.
Meneja
wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akizungumzia shindano hilo mbele ya wageni mbalimbali waliohudhuria tafrija hiyo.
Meneja
wa kinywaji cha Guinnes, Davis Kambi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki
wa shindano la Guinness Football Challenge.
0 comments:
Post a Comment