Nafasi Ya Matangazo

January 27, 2013

 Katibu Mkuu wa TFF na Kamati ya Uchaguzi, Angetile Osiah
 ***
UCHAGUZI WA VIONGOZI WASHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) NATANZANIA PREMIER LEAGUE BOARD (TPL BOARD)27101/2013

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inawataarifu wadau wa soka kuwa fursa ya kuweka pingamizi kwa wagornbea uongozi wa TFF na Tanzania Premier League Board (TPL Board) ilìkwisha jana tarehe 26 Januari 2013 Saa 10.00 jioni. Kamatí ya uchaguzi ilipokea pingamìzi kwa waombaji uongozi wafuatao wa TFF na TPL Board:

(a) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (T FF).

(i) Ndg. Athumani J. Nyamlani anayeomba kugombea nafasí ya Reis wa TFF amewekewa pingamizi na Ndg. Mintanga Yusuph Gacha na Ndg. Medard Justiniani.

(ii) Ndg. Jamal Malinzi anayeomba kugombea nafasi ya Reis wa TFF amewekewa pângamizi na Ndg. Agape Fue.

(iii) Ndg. Michael R. Wambura anayeomba kugombea nafasi ya Makamu wa Rais wa TFF amewekewa pingamizi na Ndg. Josea Samuel Msengi na Ndg. Said Rubea Tamim.

(iv) Ndg. Epaphra Swai anayeomba kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendajì ya TFF kupitia Kanda ya 3 (Shinyanga na Simiyu) amewekewa pingamizi na Ndg. Ramadhani Sesso na
Ndg. Tsotsie Chalamila.

(v) Ndg. Eliud F’. Mvella anayeomba kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF kupitía Kanda ya 7 (lringa na Mbeya) amewekewa pingamizi na Ndg. Said Kiponza, Ndg. Abu Changawa na Ndg. Peter Naminga.

(vi) Ndg. Athumani K. Kambi anayeomba kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya
TFF kupitia Kanda ya 9 (Mtwara na Lindi) amewekewa pingamizi na Ndg. Jeremiah John Wambura.

(b) Tanzania Premier League Board (TPL Board)

(ì) Ndg. Hamaci Yahya Juma anayeomba kugombea nafasâ ya Mwenyekiti wa Bodi ya  (TPL Board) amewekewa pingamizi na Ndg. Frank M. Mchaki.

(iii) Ndg. Said Mohamed anayeomba kugombea naíasì ya Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPL Board) amewekewa pingamizì na Ndg. Frank M. Mchaki.

2., Kamatì ya Uchaguzi ya TF5: itakutana Jumatano tarehe 30/01/2013 Saa 4 asubuhi kujadili pingamìzi hizo.

Waombaji uongozi waliowekeewa pingamizi na wawekaji pingamizi wanataarifiwa kufika kwenye kikao cha Kamati ya Uchaguzi ya TFF tarehe 30/01/2013 Saa 4 asubuhi na wanajulishwa kuwa barua za wito wa kuhudhuria kikao hìcho Zimeîumwa kwao kupitia anwani za barua-pepe zilizonyeshwa kwenye fomu za maombi ya uongozi na taarifa za Pìngamizì.

Angetile Osah
KÄTEBUKAMATI YA UCHAGUZE YA TFF
Posted by MROKI On Sunday, January 27, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo