Simba
imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ahli Sidab ya daraja la
kwanza hapa Oman...wenyeji hao walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa
Mbrazil, Lopez lakini Kiggi Makasi akasawazisha na kipindi cha pili
Amri Kiemba akapachika bao la pili...Wachezaji watatu wa kikosi cha
kwanza Boban, Mwinyi na Kazimoto walikuwa nje, Sunzu hakucheza, pia Abel
Dhaira....
baada ya mechi, mdhamini wa safari
hiyo hapa Oman, Rahma Al Kharusi aliwapongeza wachezaji na benchi la
ufundi na kuahidi kuja kuzungumza nao Jumatatu mchana na kula nao
chakula cha mchana. Kambi ya Simba inafikia tamati keshokutwa
Jumatano...
zaidi soma CHAMPIONI JUMATATU...PICHA NA SALEH ALLY WA CHAMPIONI/GLOBAL PUBLISHERS.
Posted by MROKI
On Monday, January 21, 2013
No comments
0 comments:
Post a Comment